\b \p \v=6 \v~=Mose, mtumishi wa \nd Bwana,\nd* na Waisraeli wakawashinda. Naye Mose mtumishi wa \nd Bwana\nd* akawapa Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase nchi ya hao wafalme ili iwe milki yao. \¬v \¬p