\b \p \v=14 \v~=Lakini kwa kabila la Lawi, Mose hakupeana urithi, kwa kuwa sadaka za kuteketezwa kwa moto zilizotolewa kwa \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli, ndizo zilizokuwa urithi wao, kama alivyowaahidi. \¬v \¬p