\v=14 \v~=Hivyo Hebroni imekuwa mali ya Kalebu mwana wa Yefune Mkenizi tangu wakati ule, kwa sababu alimwandama \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli, kwa moyo wote. \¬v