\v=7 \v~=Nilikuwa na umri wa miaka arobaini, wakati Mose mtumishi wa \nd Bwana\nd*, aliponituma kutoka Kadesh-Barnea kuipeleleza hiyo nchi. Nami nikamletea taarifa kama kulingana na nilivyosadiki moyoni. \¬v