\v=8 \v~=Lakini ndugu zangu tuliopanda nao waliifanya mioyo ya watu iyeyuke kwa hofu. Bali mimi, nilimfuata \nd Bwana\nd* Mungu wangu kwa moyo wote. \¬v