\pi1 \v=11 \v~=Katika Isakari na Asheri Manase alikuwa na miji pia: Beth-Shani, Ibleamu na watu wa Dori,\f + \fr 17:11 \ft Ndiyo Nafoth-Dori.\f* Endori, Taanaki na Megido, pamoja na vijiji vyote vinavyohusika na miji hiyo (ya tatu katika orodha ni Nafothi). \¬v \¬pi1