\v=4 \v~=Wakamwendea kuhani Eleazari, Yoshua mwana wa Nuni, na viongozi, wakasema: “\nd Bwana\nd* alimwagiza Mose atupatie urithi miongoni mwa ndugu zetu.” Kwa hiyo Yoshua akawapa urithi pamoja na ndugu wa baba yao, kufuatana na agizo la \nd Bwana\nd*. \¬v