\v=10 \v~=Basi Yoshua akawapigia kura huko Shilo mbele za \nd Bwana\nd*, na hapo akagawanya ile nchi kwa Waisraeli kufuatana na mgawanyo wa kabila zao. \¬v \¬p