\v=6 \v~=Baada ya kuandika maelezo ya hizo sehemu saba za nchi, yaleteni kwangu, nami nitawapigia kura kwa kura mbele za \nd Bwana\nd* Mungu wetu. \¬v