\b \p \v=51 \v~=Haya ndiyo maeneo ambayo kuhani Eleazari, Yoshua mwana wa Nuni, na viongozi wa koo za kabila za Israeli waliyoyagawanya kwa kura huko Shilo mbele za \nd Bwana\nd* penye ingilio la Hema la Kukutania. Hivyo wakamaliza kuigawanya nchi. \¬v \¬p \¬c