\v=11 \v~=“Pitieni katika kambi yote mkawaambie watu, ‘Wekeni tayari mahitaji yenu. Siku tatu kuanzia sasa mtavuka hii Yordani ili kuingia na kuimiliki nchi ambayo \nd Bwana\nd* Mungu wenu anawapa iwe yenu wenyewe.’ ” \¬v \¬p