\v=15 \v~=\nd Bwana\nd* awape nao raha, kama alivyokwisha kufanya kwa ajili yenu hadi wao pia watakapokuwa wamemiliki nchi ile \nd Bwana\nd* Mungu wenu anayowapa. Baada ya hilo, mwaweza kurudi na kukalia nchi yenu wenyewe, ambayo Mose mtumishi wa \nd Bwana\nd* aliwapa mashariki mwa Yordani kuelekea linakochomoza jua.” \¬v \¬p