\v=4 \v~=Nchi yenu itaenea kuanzia jangwa hili hadi Lebanoni, tena kuanzia mto mkubwa wa Frati, yaani nchi yote ya Wahiti, hadi Bahari ile Kubwa\f + \fr 1:4 \ft Yaani Bahari ya Mediterania.\f* iliyoko upande wa magharibi. \¬v