\v=9 \v~=Je, si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na shujaa. Usihofu wala usivunjike moyo, kwa kuwa \nd Bwana\nd* Mungu wako atakuwa pamoja nawe kokote uendako.” \¬v \¬p