\v=3 \v~=Hivyo kama vile \nd Bwana\nd* alivyoamuru, Waisraeli wakawapa Walawi miji ifuatayo pamoja na sehemu zake za malisho kutoka urithi wao wenyewe. \¬v \¬p