\p \v=43 \v~=Kwa hiyo \nd Bwana\nd* akawapa Israeli nchi yote aliyokuwa ameapa kuwapa baba zao, nao wakaimiliki na kukaa humo. \¬v