\v=44 \v~=\nd Bwana\nd* akawapa pumziko kila upande, kama vile alivyokuwa amewaapia baba zao, hakuna hata mmoja wa adui zao aliyeweza kusimama mbele yao, \nd Bwana\nd* akawatia adui zao wote mikononi mwao. \¬v