\p \v=8 \v~=Kwa hiyo Waisraeli wakawapa Walawi miji hii pamoja na sehemu zake za malisho, kama vile \nd Bwana\nd* alivyokuwa ameamuru kupitia kwa Mose. \¬v \¬p