\v=17 \v~=Je, dhambi ya Peori haikutosha? Hata ingawa kulikuja tauni juu ya kusanyiko la \nd Bwana\nd*, mpaka leo hii hatujatakasika kutokana na dhambi hiyo! \¬v