\v=19 \v~=Kama nchi mnayomiliki imenajisika, vukeni mje katika nchi ya \nd Bwana\nd*, mahali Maskani ya \nd Bwana\nd* ilipo, nanyi mkajitwalie sehemu miongoni mwetu, lakini msije mkaasi dhidi ya \nd Bwana\nd* wala dhidi yetu sisi kwa kujijengea madhabahu, zaidi ya madhabahu ya \nd Bwana\nd* Mungu wetu. \¬v