\v=25 \v~=\nd Bwana\nd* ameifanya Yordani kuwa mpaka kati yetu na ninyi, ninyi Wareubeni na Wagadi! Hamna fungu kwa \nd Bwana\nd*.’ Kwa hiyo wazao wenu wanaweza wakawasababisha wazao wetu wakaacha kumcha \nd Bwana\nd*. \¬v \¬p