\p \v=29 \v~=“Hili jambo la kumwasi \nd Bwana\nd* na kumwacha siku hii ya leo kwa kujenga madhabahu kwa ajili ya sadaka za kuteketezwa, sadaka za nafaka na dhabihu, zaidi ya madhabahu ya \nd Bwana\nd* Mungu wetu iliyo mbele ya maskani yake na liwe mbali nasi.” \¬v \¬p