\v=3 \v~=Kwa muda mrefu sasa, hadi siku hii ya leo, hamkuwaacha ndugu zenu, bali ninyi mmetimiza ile kazi \nd Bwana\nd* Mungu wenu aliyowapa. \¬v