\v=31 \v~=Naye Finehasi mwana wa kuhani Eleazari, akawaambia Wareubeni, Wagadi na Manase, “Leo tunajua kwamba \nd Bwana\nd* yuko pamoja nasi, kwa sababu hamkukosa uaminifu kwa \nd Bwana\nd* katika jambo hili. Sasa mmewaokoa Waisraeli na mkono wa \nd Bwana\nd*.” \¬v \¬p