\v=4 \v~=Sasa kwa kuwa \nd Bwana\nd* Mungu wenu amewapa ndugu zenu pumziko kama alivyoahidi, rudini nyumbani mwenu katika nchi ile ambayo Mose mtumishi wa \nd Bwana\nd* aliwapa ngʼambo ya Yordani. \¬v