\p \v=6 \v~=Ndipo Yoshua akawabariki na kuwaaga waende zao, nao wakaenda nyumbani mwao. \¬v