\v=13 \v~=basi mwe na hakika kuwa \nd Bwana\nd* Mungu wenu hatawafukuza tena mataifa hayo mbele yenu. Badala yake, watakuwa tanzi na mitego kwenu, mijeledi migongoni mwenu, na miiba machoni mwenu, mpaka mwangamie kutoka nchi hii nzuri, ambayo \nd Bwana\nd* Mungu wenu amewapa. \¬v \¬p