\v=15 \v~=Lakini kama vile kila ahadi njema ya \nd Bwana\nd* Mungu wenu imekuwa kweli, vivyo hivyo \nd Bwana\nd* ataleta maovu yote kama alivyo onya, mpaka awe amewaangamiza kutoka nchi hii nzuri aliyowapa. \¬v