\v=16 \v~=Kama mkilivunja agano la \nd Bwana\nd* Mungu wenu, ambalo aliwaamuru ninyi, mkaenda na kuitumikia miungu mingine na kuisujudia, hasira ya \nd Bwana\nd* itawaka dhidi yenu, nanyi mtaangamia kutoka nchi nzuri aliyowapa ninyi.” \¬v \¬p \¬c