\v=3 \v~=Ninyi wenyewe mmeona kila kitu \nd Bwana\nd* Mungu wenu, alichowatendea mataifa haya yote kwa ajili yenu. Ilikuwa ni \nd Bwana\nd* Mungu wenu aliyewapigania. \¬v