\v=5 \v~=\nd Bwana\nd* Mungu wenu mwenyewe atawaondoa watoke mbele yenu. Atawafukuza mbele yenu, nanyi mtamiliki nchi yao, kama vile \nd Bwana\nd* Mungu wenu alivyowaahidi. \¬v \¬p