\p \v=9 \v~=“\nd Bwana\nd* amewafukuza mbele yenu mataifa makubwa na yenye nguvu, mpaka siku ya leo hakuna yeyote aliyeweza kusimama mbele yenu. \¬v