\p \v=14 \v~=“Sasa basi mcheni \nd Bwana\nd* na kumtumikia kwa uaminifu wote. Itupeni mbali miungu ambayo baba zenu waliiabudu huko ngʼambo ya Mto Frati na huko Misri, nanyi mtumikieni \nd Bwana\nd*. \¬v