\v=18 \v~=\nd Bwana\nd* akayafukuza mbele yetu mataifa yote pamoja na Waamori, walioishi katika nchi hii. Hivyo sisi nasi tutamtumikia \nd Bwana\nd* kwa kuwa yeye ndiye Mungu wetu.” \¬v \¬p