\p \v=19 \v~=Yoshua akawaambia watu, “Hamwezi kumtumikia \nd Bwana\nd*. Yeye ni Mungu Mtakatifu, ni Mungu mwenye wivu. Hatasamehe uasi wenu na dhambi zenu. \¬v