\p \v=2 \v~=Yoshua akawaambia watu wote, “Hili ndilo \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli, asemalo: ‘Hapo zamani baba zenu, pamoja na Tera baba yake Abrahamu na Nahori, waliishi ngʼambo ya Mto nao waliiabudu miungu mingine. \¬v