\v=20 \v~=Ikiwa mkimwacha \nd Bwana\nd* na kuitumikia miungu migeni, atageuka na kuwaleteeni maafa na kuwaangamiza, baada ya kuwa mwema kwenu.” \¬v \¬p