\p \v=23 \v~=Yoshua akawaambia, “Sasa basi, itupeni mbali hiyo miungu migeni iliyo katikati yenu, nanyi mtoleeni \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli, mioyo yenu.” \¬v \¬p