\p \v=29 \v~=Baada ya mambo haya, Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa \nd Bwana\nd* akafa akiwa na umri wa miaka mia moja na kumi. \¬v