\v=11 \v~=Tuliposikia juu ya hili, mioyo yetu iliyeyuka na kila mmoja alikosa ujasiri kwa sababu yenu, kwa maana \nd Bwana\nd* Mungu wenu ni Mungu juu mbinguni na duniani chini. \¬v