\v=24 \v~=Wakamwambia Yoshua, “Hakika \nd Bwana\nd* ametupa nchi yote mikononi mwetu; watu wote wanayeyuka kwa hofu kwa sababu yetu.” \¬v \¬p \¬c