\v=9 \v~=akawaambia, “Ninajua kuwa \nd Bwana\nd* amewapa nchi hii na hofu kuu imetuangukia kwa sababu yenu, kiasi kwamba wote waishio katika nchi hii wanayeyuka kwa hofu kwa sababu yenu. \¬v