\v=13 \v~=Mara tu nyayo za makuhani walichukualo Sanduku la \nd Bwana\nd*, Bwana wa dunia yote, zitakapokanyaga ndani ya Mto Yordani, maji hayo yatiririkayo kutoka juu yatatindika na kusimama kama chuguu.” \¬v \¬p