\p \v=17 \v~=Wale makuhani waliobeba Sanduku la Agano la \nd Bwana\nd*, wakasimama imara mahali pakavu katikati ya Mto Yordani, wakati Waisraeli wote wakiwa wanapita hadi taifa lote likaisha kuvuka mahali pakavu. \¬v \¬p \¬c