\v=3 \v~=wakitoa maagizo kwa watu, wakiwaambia: “Mtakapoona Sanduku la Agano la \nd Bwana\nd* Mungu wenu, likichukuliwa na Walawi ambao ndio makuhani, mtaondoka hapo mlipo na kulifuata. \¬v