\v=4 \v~=Ndipo mtakapotambua njia mtakayoiendea, kwa kuwa hamjawahi kuipita kabla. Lakini msisogee karibu, bali kuwe na umbali wa dhiraa 2,000\f + \fr 3:4 \ft Dhiraa 2,000 ni sawa na mita 900.\f* kati yenu na Sanduku.” \¬v \¬p