\p \v=5 \v~=Ndipo Yoshua akawaambia hao watu, “Jitakaseni, kwa kuwa kesho \nd Bwana\nd* atatenda mambo ya kushangaza katikati yenu.” \¬v \¬p