\p \v=14 \v~=Siku ile \nd Bwana\nd* akamtukuza Yoshua mbele ya Israeli yote, nao wakamheshimu siku zote za maisha yake, kama vile walivyomheshimu Mose. \¬v \¬p