\v=23 \v~=Kwa maana \nd Bwana\nd* Mungu wenu alikausha maji ya Yordani mbele yenu, hadi mlipomaliza kuvuka. \nd Bwana\nd* Mungu wenu alifanya haya kwa Mto Yordani sawasawa na kile alichoifanyia Bahari ya Shamu wakati alipoikausha mbele yetu hadi tulipomaliza kuvuka. \¬v