\v=5 \v~=naye akawaambia, “Mtangulie mbele ya Sanduku la \nd Bwana\nd* Mungu wenu, mwende katikati ya Mto Yordani. Kila mmoja wenu atainua jiwe begani mwake, kufuatana na hesabu ya makabila ya Waisraeli, \¬v